KUWEKA PESA


Ninawekaje pesa kwenye akaunti yangu ya kubetia mtandaoni ya Meridianbet?

Weka kwa kutumia M-PESA, TIGO Pesa au duka lolote la Meridianbet

Kuweka pesa kwa Selcom Huduma

Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Selcom Huduma

Kuweka pesa kwa TIGO Pesa

Namna ya kuweka pesa kwa TIGO Pesa

Kuweka pesa kwa M-PESA

Jinsi ya kuweka pesa kwa kutumia Vodacom M-PESA

Deposit with Halopesa

Jinsi ya Kuweka pesa kwenye akaunti yako ya kwa Halopesa

Kulipa kwa Airtel Money

Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Airtel Money

Weka pesa kwa KwikPay App

Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia KwikPay App

Sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa USSD kupitia Airtel

Sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa USSD kupitia Airtel

Kuweka pesa kwenye akaunti ya USSD kwa TIGO Pesa

Ingiza namba ya biashara 777111 ukiwa na namba yako ya simu kama namba ya kumbukumbu ya malipo

Namna ya kuweka pesa dukani?

Salio lako litaonekana punde tu muamala unapokamilishwa.

Ni sehemu gani ninapoweza kuona miamala yangu (kulipia na kulipwa)?

Miamala yako yote inaonekana ndani ya kisehemu cha Akaunti Yangu (My Account) upande wa kushoto, ndani ya Miamala (Transactions).

Ninapaswa kufanya nini endapo nina tatizo kuhusiana na M-PESA?

Wasiliana na kitengo chetu cha Huduma kwa Wateja kwa masuala yoyote yanayohusiana na M-PESA.

NImeweka pesa lakini bado hazionekani kwenye akaunti yangu ya Meridianbet?

Tutumie picha ya MESEJI yako ya malipo kwa info@meridianbet.co.tz ili tuweze kukamilisha malipo hayo.

Lengo la kulipa kwa kuweka pesa ni muhimu?

Hapana, pesa iliyolipwa kwa tovuti inaweza kutumika kwa kubetia michezo, kubetia inayoendelea, KENO, beti za bure au kasino.