Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa kutumia Kadi ya Benki kupitia Selcom
Hatua ya 01: Chagua malipo kwa kutumia Kadi ya Benki/Kadi ya Mkopo
Hatua ya 02: Ingiza Kiasi unachotaka
Hatua ya 03: Ingiza namba ya kadi yako, tarehe ya mwisho wa matumizi na CVV
Hatua ya 04: Unaweza kuhifadhi kadi zako kwa malipo ya baadaye
Hatua ya 05: Ingiza kodi ya OTP ili kuthibitisha muamala
Hatua ya 06: Utapokea ujumbe wa uthibitisho na pesa zitawekwa kwenye akaunti yako ya kubetia
Inaweza kuchukua dakika 1 pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo utapata tatizo lolote kuhusiana na kuwekewa pesa usisite kuwasiliana na kitengo Huduma kwa Wateja.