Meridian imejikita kwenye “Mifumo ya tahadhari ya mapema”, iliyopangwa na Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA. Kwa kupitia mfumo huu, yote yanayotiliwa mashaka, kama vile odds kubwa sana za kupitiliza itaripotiwa kwa FIFA kwa mechi yoyote. Wataalamu wa EWS wanachunguza na kupeleleza kwenye soko la kubeti na wana mawasiliano na taasisi za tafiti, kukiwa na lengo la kuzuiwa ubadhirifu kwenye michezo.
Meridianbet ina leseni na kuratibiwa na Gaming Board of Tanzania.
Tel: +255 22 2124703/4
Fax: +255 22 2124705
Postal Address: PO Box 1717, Dar es Salaam, TANZANIA
Chama cha Ubashiri wa Michezo Tanzania (TSBA) kilianzishwa mwezi Aprili mwaka 2016. TSBA ni ushirika usiolenga kujipatia faida ambao unawakilisha wahudumu wa kubetisha na michezo ya bahati nasibu ambao wamepata leseni na kuratibiwa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukiwa na lengo la kuboresha viwango vya biashara kwenye sekta ya kamari.
www.tsba.co.tz
Kitengo cha Ukachero wa Mapato (FIU) kilianzishwa chini ya kifungu namba 4 cha Sheria ya Uzuiaji wa Ubadhirifu wa Pesa, kurasa ya 423 ya mwaka 2006 (AMLA) ili kukabiliana na ubadhirifu wa pesa na mapato ya uharamia.
www.fiu.go.tz
Meridian haikubali bashiri kutoka kwa watu ambao wana umri wa chini ya miaka 18. Nyaraka binafsi zinahitajika kama uthibitisho wa wateja husika ili kuweza kuvifikia vilivyotajwa kwenye Sheria iliyopo.
Usalama kwa mteja ni kipaumbele chetu cha kwanza. Taarifa zote zinawekwa katika hali ya usiri sana kwa mfumo wa SSL, ambao unatoa ulizi wa hali ya juu kabisa kwenye Internet. Tumejizatiti na kukiri juu ya utunzaji na ulinzi wa usiri na taarifa za binafsi kwa wote wanaotutembelea.