Matumizi ya Pesa ya Bonasi


Pesa ya Bonasi inatakiwa kutumika kihalali kwenye michezo halali ya bashiri, na sio kuwinda bonasi kwa kurudia tiketi ya aina moja au mchezo wa aina moja mara nyingi na udanganyifu wa aina nyingine. Ikiwa shughuli yeyote ya kuwinda bonasi itagunduliwa akaunti itazuiwa na kiasi chote kilichokusanywa kwa udanganyifu kitaripotiwa kwenye mamlaka kwa mashtaka ya uhalifu.