Home
JUMLA
Kuhusu Sisi

Kuhusu Sisi

Meridianbet.co.tz inamilikiwa kiukamilifu na Kampuni ya Bit Tech Limited iliyosajiliwa Dar es Salaam, Tanzania.

Kujikita kwa Meridianbet.co.tz

Kamari ni kitendo cha kujiburudisha kwa watu wenye umri mkubwa na, hapa meridianbet.co.tz, tunataka wateja wetu wafurahie kubashiri na kucheza bahati nasibu wakiwa nasi. Tumejikita katika kutoa huduma ambayo ni ya kujitosheleza, iliyo salama, iliyo ya haki na ambayo inawajibika na kukubalika kwa jamii nzima. Hivyo, tuna aina kadhaa za masuala tuliyoyachukua ambayo tunaamini ya kuwa yote hayo yatawasaidia na kuwahakikishia wateja.

Kamari chini ya umri

Kamari kwa wenye umri wa chini ya miaka 18 ni kosa la jinai na meridianbet.co.tz inachukua jukumu lake kuzuia ufikiaji wa huduma zetu kwa wale wenye umri chini ya miaka 18 kwa umakini wa hali ya juu sana.

Kuifikia historia ya mteja

Wateja wanaweza kuifikia historia kamili ya miamala, kutoa pesa, na kuweka pesa. Salio la mteja huonekana mara zote kwenye sehemu ya 'Your Account'/'Statements' (‘Akaunti yako/Taarifa zako’).

Mafunzo kwa wahudumu

Kila mamlaka na wahudumu kwa wateja wanapokea elimu ya ufahamu juu ya matatizo ya masuala ya kamari.

Kudhibiti matumizi

Wakati ambapo watu wengi wanacheza kamari wakiwa na njia zao binafsi, kwa baadhi ya watu kamari inaweza kuwa ni tatizo. Itakusaidia sana kudhibiti hili kwa kukumbuka yafuatayo:

  • Kamari iwe ni kujiburudisha, na sio kuonekana kama ni sehemu ya kujitengenezea pesa
  • Epuka kukiwania kile ulichopoteza
  • Fanyia kamari kile tu ambacho unakimudu kukipoteza
  • Chunguza kwa makini muda na kiasi ambacho unatumia kufanyia kamari
  • Endapo unahitaji kupumzika kufanya kamari unaweza kutumia kisehemu chetu cha kujitoa kwa kututumia ujumbe wa barua pepe kwa care AT meridianbet DOT co DOT tz ukiwa na taarifa zako za akaunti uliyofungua ukiwa nasi. Kisha meridianbet.co.tz itaifunga akaunti y(z)ako kwa muda wa chini ya miezi 6, muda ambao haitokuwa rahisi kwa akaunti hiy(z)o kufunguliwa tena kwa sababu yoyote ile.