Home
KUBETI

KUBETI

Turbo Payout ni Nini?

Turbo Payout ni aina ya promosheni ambayo itakuwezesha kupata malipo ya ushindi kutoka kwenye pea 3 bila ya kujali ni idadi ngapi ya mechi uko nazo kwenye tiketi.

How do I know how many combinations are on my ticket?

When you select the matches click on the System option within the ticket in the portion beneath the matches and possible systems based on the number of matches shall appear and you can see the planned number of system combinations in the brackets.

Empty Bet ni nini?

Empty Bet ni aina ya kubeti ambapo mchezaji anaweka mawazo yake binafsi kwa kutengeneza gemu ya kubeti, baada ya hapo duka la kubetia linaikubali hiyo na kupendekeza odds kwenye wazo hilo endapo baadhi ya vigezo vilivyojumuishwa kwenye sheria na upimaji vitatimizwa.

Nifanye nini endapo ninapokea odds 1.01 kwenye Empty Bet?

Mara nyingi mchezeshaji anarudisha tiketi na kusema ni nini kinapaswa kurekebishwa.

Sijapokea odds nilipojaza fomu ya Empty Bet?

Ili kubeti kwenye Empty Bet ingia kwenye tovuti yetu. Bonyeza sehemu ya Empty Bet.

Ninawekaje beti ndani ya Empty Bet?

Ili kubeti kwenye Empty Bet ingia kwenye tovuti yetu. Bonyeza kwenye kitufe cha Empty Bet.

Empty Bet (Beti Tupu) ni kwa ajili ya nini?

Chaguo la Empty Bet linatumika kwa kubetia matukio ambayo hayajajumuishwa kwenye mipangilio ya kwenye tovuti yetu na inatoa uhuru wa kuunda beti binafsi.

Empty Bet (Beti Tupu) ni kwa ajili ya nini?

Chaguo la Empty Bet linatumika kwa kubetia matukio ambayo hayajajumuishwa kwenye mipangilio ya kwenye tovuti yetu na inatoa uhuru wa kuunda beti binafsi.

Ninaweza kuikata tiketi iliyokwishawekwa mtandaoni?

Haiwezekani kuikata (kuizuia) tiketi kutoka kwenye tovuti.

Ni kwanini Turbo Payout inakataa kwenye tiketi yangu?

Ombi lako litakataliwa endapo haukidhi vigezo vyote vitakiwavyo kwa ajili ya Turbo Payout.

Ni sehemu gani ninapoweza kuona pea zilizochaguliwa?

Pea zilizochaguliwa zinaweza kuonekana kwenye chaguo la Tiketi.

Unatafutaje thamani ya tiketi ya mfumo?

Kila muunganiko (combination) ni kama vile tiketi ndogo kwa pea nyingi nyingi ambazo mchezaji anahitaji kwa kulenga kiasi cha chini kabisa kwenye mfumo.

Unatafutaje thamani ya alama zaidi ya moja?

Alama mbili mbili, alama tatu tatu, alama nne nne – ni aina ya mfumo wa kubetI ambapo mchezaji anaweka aina tofauti za ubashiri kwenye mechi moja (mbili kwa mara mbili mbili, tatu kwa mara tatu tatu…) ambapo alama za mara mbili au mara tatu zinaweza kutumika kwenye kila aina ya mfumo uliotajwa.

Ni kwa namna gani ninaweza kucheza tiketi ya mfumo (system)?

Chagua mechi unazotaka, kwenye machaguo ya tiketi chagua mfumo (system), chagua mfumo unaoutaka, ingiza kiasi cha pesa na ubonyeze sehemu ya kuthibitisha.

KENO

Mipira 80 inawekwa kwenye dumu, kuanzia 1 mpaka 80. Katika kila droo, mipira 20 inachomolewa katika dumu.

Spesho ni nini na ni sehemu gani ninaweza kuziona?

Spesho ni ofa zinazohusiana na ofa za michezo na ofa nzuri zilizopo hewani ambazo hazihusiani na michezo.

FAST BET ni nini?

Tiketi iliyotengenezwa mtandaoni, ikachezwa kwenye maduka ya kubetia, ni FAST BET.