Home
KUBETI
Nifanye nini endapo ninapokea odds 1.01 kwenye Empty Bet?

Nifanye nini endapo ninapokea odds 1.01 kwenye Empty Bet?

Endapo tiketi imerudishwa ikiwa na odds 1.01, hii mara nyingi humaanisha kwamba beti haijapangiliwa vyema na tunaomba uipangilie upya kwa kadri ya ufafanuzi wa Epmty Bet. Mara nyingi mchezeshaji anarudisha tiketi na kusema ni nini kinapaswa kurekebishwa.