Home
KUBETI
FAST BET ni nini?

FAST BET ni nini?

Tiketi iliyotengenezwa mtandaoni, ikachezwa kwenye maduka ya kubetia, ni FAST BET.Select odds without logging in.

Pangilia dau lako na uhakiki kutengenezwa kwa tiketi kwa kubofya sehemu ya Fast Bet.

Namba ya tiketi yako ya haraka ipo kwenye tiketi inayooneshwa.

Mpatie namba hiyo mchezeshaji dukani na tiketi yako itachapwa ndani ya dakika chache.

Ile namba ya tiketi ya haraka ni halali kwa muda wa masaa 48 tangu siku ilipotengenezwa na unawezza kuilipia kwenye duka lolote la kubetia.

Endapo mechi zilizopo kwenye tiketi zimeshaanza, namba ya tiketi ya haraka haina uhalali tena.

Odds halali za tiketi ni zile zilizopo wakati wa kupokea tiketi kwenye kituo cha mauzo kwa mchezeshaji, na sio zile zilizokuwepo wakati wa kuitengeneza tiketi mtandaoni.