Home
JUMLA
Usalama na mifumo ya uwajibikaji katika kamari

Usalama na mifumo ya uwajibikaji katika kamari

Kanuni za uwajibikaji katika kamari kwa Meridianbet.co.tz
Meridianbet.co.tz inajitahidi kujenga uwajibikaji na mazingira nyenyekevu katika michezo ya kubahatisha kwa kila mtu anayecheza Meridianbet.co.tz. Kwa watu wengi michezo ya kubahatisha ni ya kufurahisha kijamii na ni chanzo cha burudani kisicho na madhara. Meridianbet.co.tz inataka kutoa jukwaa bora zaidi na salama duniani katika michezo ya kubahatisha kwa watu wazima. Kila mtumiaji anaweza kucheza ndani ya uwezo wake wa kifedha na atapata huduma bora kadri iwezekanavyo. Lakini, wakati mwingine inakuwa ni kiasi kidogo sana na idadi ndogo tu ya wachezaji hawawezi kusema hapana katika kuweka mizunguko ya ziada ya sloti au kwenye beti ya ziada.
 
Uwajibikaji katika michezo ya kubahatisha kwa Meridianbet.co.tz ipo katika msingi ya kanuni tatu:
 
Usalama wa Mchezaji
Sisi tunachukua jukumu kwa ajili ya usalama wa wachezaji wetu. Ulinzi wa wachezaji una msingi katika kuondolewa kwa watoto wadogo kwenye bidhaa zilizopangwa na ulinzi wa  faragha, ambayo inahusisha shughuli na kuwajibika kwa nyaraka na usindikaji wa malipo. Haki na asili bila ya mpangilio ya bidhaa zinazotolewa inafuatiliwa kwa karibu na mamlaka ya kujitegemea. Pia, masoko na mawasiliano yanalenga ulinzi kwa mchezaji: haki ya michezo ya kubahatisha inaahidi tu bidhaa inayoweza kuletwa.
Usalama wa Mchezo
Ufuatiliaji mtandaoni kwa Meridianbet.co.tz pamoja na uzoefu wa wafanyakazi wetu unahakikisha ulinzi dhidi ya udanganyifu. Matumizi mabaya ya bashiri na ubadhirifu wa fedha ni uhalifu na si mchezo.
Kinga dhidi ya hali isiyozuilika katika kamari
Kubeti inapaswa kuchukuliwa kuwa kama ni njia ya kufurahisha na kutumia muda wa ziada, na si kama njia ya kupata fedha. Ushiriki katika beti na kamari unaweza kusababisha matatizo kwa kikundi kidogo cha wateja.
Ili kutoa msaada bora kwa wateja juu ya yale yote ambayo yanahusiana na uwajibikaji katika michezo ya kubahatisha hushughulikiwa na timu iliyojitolea kwa msaada ndani ya idara ya huduma kwa wateja. Timu hii hufanya kazi pamoja na wateja na kutoa mapendekezo kwa ajili ya wateja juu ya kiwango ambacho inawezekana kwa wao kucheza kwa kuwajibika. Katika hali ambayo inaweza kuwa imeonekana chanzo chake kina madhara juu ya michezo ya kubahatisha na inaleta hali ya kulevya katika ushiriki wake zaidi katika michezo ya kubahatisha basi ufanyaji kazi huwekewa marufuku. Kisha mteja anapata msaada na ushauri juu ya jinsi ya kupata msaada wa kitaalamu katika eneo hilo.
Ulinzi wa watoto
Meridianbet.co.tz inazuia ufikiaji wa watoto (watu walio chini ya umri wa miaka 18) katika kushiriki kwenye michezo ya kubahatisha mtandaoni. Uthibitisho wa kufikia umri wa ukubwani na tarehe ya kuzaliwa ni utaratibu wa lazima katika kufanya usajili. Nakala zaidi ya kitambulisho cha picha yaweza pia kuhitajika wakati wateja wanapofanya utoaji wa pesa kwa mara yao ya kwanza. Meridianbet.co.tz inachukua jukumu lake kwa umakini sana katika kuzuia watoto katika kushiriki kwenye michezo ya kubahatisha.
Wazazi wanashauriwa kuweka maelezo yao ya kufikia taarifa katika usalama wakati wote (namba ya utambuzi wa mtumiaji, neno siri na swali na jibu lako).
Pia, tunapendekeza kufunga programu ambayo inawezesha kuzuia na kuchuja mtandao na mlolongo wake ili kuzuia watoto kufikia tovuti za kubeti na kamari kwenye maeneo ya mtandao.
 
• CyberPatrol www.cyberpatrol.com
 
• SurfControl www.surfcontrol.com
 
• Net Nanny www.netnanny.com
 
• Cybersitter www.cybersitter.com
Ili kutoa ulinzi bora uwezekanao kwa watoto, tunaweza pia kutegemea msaada wa wazazi na walezi. Tafadhali weka maelezo yao ya kufikia taarifa katika usalama wakati wote (namba ya utambuzi wa mtumiaji, neno siri na swali na jibu lako).
Kutambua tabia hatarishi katika kamari
Katika hali ya kuhisi una mashaka yoyote kuhusu tabia yako na ukomo binafsi uliowekewa mipaka, unaweza kwenda Gamcare na kuanza kufanya Self Assessment ili kuweza kuona kama unahitaji tathmini rasmi ya kamari na tabia yako.
 
Kupata Ushauri/Kugundua Tatizo
Kuzuia matatizo katika kamari
Hapa ni mapendekezo yetu ya kanuni za kufuata ili uweze kufurahia michezo ya kubahatisha kwa kuwajibika:
<>·········Kujitoa na ulinzi wa mchezaji
 
Meridianbet.co.tz inawapa watumiaji wake mbalimbali hatua binafsi ya ulinzi ili kuhakikisha jukumu stahiki katika michezo ya kubahatisha ya starehe. Tunakuhimiza mteja wetu kutumia zana za binafsi kuweka ukomo. Hatua binafsi ya ulinzi ni ombi ambalo huchukuliwa kwa umakini na ni halali kwa kipindi kilichokubaliana kwa wakati husika.
Ukomo binafsi: Aidha, Meridianbet.co.tz inawapa wateja wake wote fursa ya kupunguza amana na ukomo wao juu ya kiasi ambacho kiko chini ya kikomo cha kiwango tajwa. Meridianbet.co.tz itachakata maombi tu ya kuongeza mipaka ya amana binafsi baada ya masaa 24 ya mwanzo, maombi ya kupunguza mipaka itatekelezwa mara moja.
Ukomo wa kuweka pesa
<>···Ukomo wa bashiri
 
  • Ukomo wa Kubashiri Masaa 24 – Unaamua nini ni ukomo wa bashiri unazoweka kwa muda wa masaa 24.
  • Ukomo wa Kubashiri Kila Wiki – Unaamua nini ni ukomo wa bashiri unazoweka kwa muda wa wiki moja.
  • Ukomo wa Kubashiri kwa Mwezi – Unaamua nini ni ukomo wa bashiri unazoweka kwa mwezi mmoja.
Ukomo wa kupoteza
  • Ukomo wa Kupoteza kwa Masaa 24 – Unaamua nini ni ukomo wako wa kupoteza mapato ndani ya masaa 24.
  • Ukomo wa Kupoteza kwa Kila Wiki – Unaamua nini ni ukomo wako wa kupoteza ndani ya wiki moja.
  • Ukomo wa Kupoteza kwa Mwezi – Unaamua nini ni ukomo wako wa kupoteza ndani ya mwezi mmoja.
Hasara na ukomo wa beti unatazamwa kila wakati uingiapo kwenye tovuti. Kama hasara yako au beti zipo juu ya kikomo, huwezi kuwa na uwezo wa kuweka beti hata wakati wa kipindi cha ukomo wa kutumika kuwa umekwisha.
Wakati huo, unaweza kutoa fedha na kuifikia tovuti.
Kujitoa: Watumiaji wa Meridianbet.co.tz  wanaweza kujiondoa wenyewe kutoka kwenye ushiriki wao katika michezo ya kubahatisha au kufanya ombi hilo kwa njia ya barua pepe. Watumiaji wanaweza kujiondoa wenyewe kutoka katika michezo ya kubahatisha siku moja hadi miaka 5 au kwa muda usiojulikana.
Kwa wakazi wa Uingereza, sheria hizi hufuatwa:
Kujitoa binafsi inaweza kuwa ni kwa kipindi kisichopungua miezi 6 pamoja na uwezekano wa uongezekaji wa muda wa miaka 5.
Tungependa kuwajulisha kuwa kufungwa kwako/binafsi kutatimizwa baada ya hatua ya kupokea uthibitisho kutoka kwa Wahudumu Wateja wetu ya kuwa akaunti yako sasa imefungwa/imetengwa.
Meridianbet.co.tz hawahusiki kwa hasara yoyote kwa upande wowote kabla ya kufungwa au kipindi madhara ya unapojitoa yanapokuja.
 
Beti yoyote ambayo haijamalizika na Meridianbet.co.tz itamalizwa kwa matokeo ya tukio hilo. Lazima pia kuzingatia kuweka programu ambayo itazuia kupata tovuti ya kamari. Kwa taarifa zaidi tafadhali bonyeza hapa.
Kuangalia hali halisi
Kujiwekea ukomo wa muda kabla ya kuanza kucheza kamari na kuizingatia hasa kwa kuweka kengele ikukumbushe. Tunakushauri kwamba uweke kifaa au saa yako iliyowezeshwa wakati wa kucheza kamari ili uweze rejea mapitio yake. Hii ni njia kukukumbusha wewe mwenyewe juu ya ni kwa muda gani umekuwa mtandaoni. Njia nyingine inaweza kuwa ni kutumia saa ya mtandaoni au ile kiashiria wakati kipindi fulani kimekwishapita.
Ulinzi kwa mchezaji
Ushauri wa kutambua tatizo la kitabia:
Tabia ya matatizo katika michezo ya kubahatisha hufafanuliwa kama tabia ambayo uharibifu unakuwepo, kazi au hali ya kifedha ya mtu binafsi au familia. Kucheza kamari kwa muda mrefu ni hakika haikubaliki kwani hali binafsi ya mtu inaweza kuwa mbaya kwa ujumla na athari kwa ustawi wa mhusika.
Hatari kubwa zaidi kwa ujumla ni kuugua ugonjwa wa kisaikolojia wa michezo ya kubahatisha. Hali hii inatakiwa kutibiwa kwa umakini. Kucheza kamari kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo ya kulevya na sugu.
Jinsi ya kutambua matatizo ya tabia?
Tungependa sasa kuwasilisha vigezo fulani ambayo vinaweza kuwa ni ishara ambazo zinaweza kuchukuliwa kuwa ni kama dalili ya matatizo ya kuzidiwa na kamari au matatizo ya tabia:
 
<>··········Uhakiki
 
Kama uthibitisho wa akaunti hautoweza kukamilika ndani ya masaa 72 tangu kuomba kusajili akaunti ya kamari na kuweka fedha, akaunti ya mteja itasitishwa, ina maana kuwa mteja hataweza kuitumia kwenye kamari hadi akaunti husika ithibitishwe.
Mawasiliano
Je, wewe una wasiwasi juu ya tabia yako ya michezo ya kubahatisha? Je, wewe upo njiani kuelekea kudhurika na athari za kamari? Sisi tunakuletea orodha ndefu ya mashirika unayoweza kuwasiliana nayo ili kujadili hali yoyote ya ulazima au tatizo la tabia kuhusiana na kamari.
Hizi ni baadhi ya taasisi ambazo kutoa msaada wa kitaalamu kimataifa na kule Uingereza:
Ujerumani Anonyme Spieler, 040 209 90 09 GamAnon, 040 209 90 09
Tafadhali wasiliana nasi moja kwa moja kama una maswali yoyote kuhusiana na shughuli zetu. Timu yetu ya msaada ni kwa ajili yako wakati wowote na wanaweza kuwasiliana kwa barua pepe: info@meridianbet.co.tz