Home
TOVUTI NA APP YA SIMU

TOVUTI NA APP YA SIMU

Jipatie ratiba zako za kubeti moja kwa moja kwenye barua pepe yako

Kila Jumatatu na Alhamisi, unaweza kujipatia ratiba zetu zote zilizokamilika kwa ajili ya kubetia kwenye barua pepe yako

Jipatie ratiba zako za kubetia moja kwa moja kwenye barua pepe yako

Kila Jumatatu na Alhamisi, unaweza kujipatia ratiba yako kamili ya kubetia kwenye jumbe zako

Ni kwanini tovuti imenitoa kwenye mfumo wa akaunti yangu?

Baada ya kuwa kimya kwa muda kadhaa kwenye tovuti, tovuti inakutoa yenyewe kwenye mfumo wa mtandao wa akaunti yako

Ni kwa namna gani ninaweza kupata picha ya ninachokiona kwenye kioo

Unaweza kurekodi vilivyomo kwenye kioo kwa kubonyeza kitufe cha PRINT SCREEN (PRTSC au PRTSCN kwenye baadhi ya keyboard

Ni sehemu gani ninayoweza kuona hali ya kiwango changu cha salio la Akaunti ya B

Salio la kwenye Akaunti yako ya Bonasi linaweza kuonekana mara baada ya kuingia kwenye akaunti yako kwenye sehemu ya chaguo la Tiketi upande wa kulia.

Ni sehemu gani, kwenye tovuti, ambapo ninaweza kuangalia tiketi nilizocheza duka

Tiketi zilizochezwa dukani zinaweza kuangaliwa kwenye kisehemu cha Angalia Ticketi (Check Ticket) mtandaoni kwenye ukurasa wa Nyumbani sehemu ya juu upande wa kona ya kushoto ya tovuti

Ni sehemu gani ninaweza kutazama matokeo?

Matokeo yanaweza kufuatiliwa moja kwa moja kwenye chaguo la takwimu

Ni kwa namna gani ninaweza kupata picha ya ninachokiona kwenye kioo (kuchapisha

Unaweza kurekodi vilivyomo kwenye kioo kwa kubonyeza kitufe cha PRINT SCREEN (PRTSC au PRTSCN kwenye baadhi ya keyboard).

Ninawezaje kufuta kumbukumbu za cache kwenye application?

Fungua sehemu ya Settings (Mipangilio), tafuta na fungua sehemu ya Application Manager kwenye simu yako.

Ni kwa namna gani ninaweza kufuta cache

Hatua za kufuta historia ya kiperuzi, cache au cookies hutofautiana kutegemeana na kiperuzi

Inamaanisha nini kushusha ukurasa?

Kushusha ukurasa ni kitendo cha kushusha taratibu ukurasa wa tovuti kwenda chini au kwenda juu kwa kutumia kipanya au kwa kutumia keyboard.

Ni kwa namna gani ninaweza kufanyiza upya ukurasa?

Unaweza kufanyiza upya ukurasa kwa kubonyeza kitufe cha F5 kwenye keyboard yako.

Ni aina gani ya kiperuzi ambacho ninatakiwa kutumia ili kuingia kwenye tovuti?

Ili kufurahia zaidi kila kitu kilichomo kwenye tovuti, tafadhali tumia Chrome, Mozilla, Opera, Safari au aina yoyote ya kiperuzi cha Internet kilichoboreshwa na cha kisasa.