Home
TOVUTI NA APP YA SIMU
Ni kwanini tovuti imenitoa kwenye mfumo wa akaunti yangu?

Ni kwanini tovuti imenitoa kwenye mfumo wa akaunti yangu?

Baada ya kuwa kimya kwa muda fulani kwenye tovuti, tovuti inakutoa yenyewe kwenye mfumo wa mtandao wa akaunti yako

Hii ni kwa ajili ya hatua za kiusalama kwa lengo la kulinda taarifa zako na kuzuia matumizi mabaya ya akaunti yako mtandaoni