Hatua za kufuta historia ya kiperuzi, cache au cookies hutofautiana kutegemeana na kiperuzi.
Endapo unatumia Chrome, historia inaweza kufutwa kwa namna hii:
Endapo unatumia Mozilla, historia inaweza kufutwa kwa namna hii:
Ili kufurahia zaidi kila kitu kilichomo kwenye tovuti, tafadhali tumia Chrome, Mozilla, Opera, Safari au aina yoyote ya kiperuzi cha Internet kilichoboreshwa na cha kisasa.
Unaweza kufanyiza upya ukurasa kwa kubonyeza kitufe cha F5 kwenye keyboard yako.
Kushusha ukurasa ni kitendo cha kushusha taratibu ukurasa wa tovuti kwenda chini au kwenda juu kwa kutumia kipanya au kwa kutumia keyboard.
Fungua sehemu ya Settings (Mipangilio), tafuta na fungua sehemu ya Application Manager kwenye simu yako.