Msaada
Home
TOVUTI NA APP YA SIMU
Ninawezaje kufuta kumbukumbu za cache kwenye application?

Ninawezaje kufuta kumbukumbu za cache kwenye application?

Fungua sehemu ya Settings (Mipangilio), tafuta na fungua sehemu ya Application Manager kwenye simu yako.

Tafuta application ya Meridianbet na uifungue.

Chagua chaguzi la Erase Cache Memory (Kufuta Kumbukumbu za Cache).