Je, ninaweza kuwa na akaunti zaidi ya moja za Meridianbet?
Haiwezekani kuwa na akaunti zaidi ya moja mtandaoni.
Haiwezekani kuwa na akaunti zaidi ya moja mtandaoni.
Watu wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee ndiyo wanaoruhusiwa kucheza kamari.
Akaunti inatengenezwa kwa kuzingatia taarifa binafsi kutoka kwenye nyaraka za utambulisho.
Passwords are case sensitive
You received your account number in an e-mail upon registration.
Kuna aina mbili za akaunti ndani ya akaunti yako ya mtandaoni: Bonasi na
Taarifa zote zinazohusiana na akaunti yako ya mtandaoni zinaweza kuonekana kwenye sehemu ya My Account (Akaunti Yangu)
Tiketi zako zote ulizocheza zinaweza kuonekana kwenye sehemu ya Akaunti Yangu (My Account), kwenye kisehemu cha Maonesho ya Tiketi (Ticket Review) upande wa kushoto.
Taarifa zako binafsi ulizoziweka wakati wa kujisajili zinaweza kuonekana kwenye chaguo la Akaunti Yangu (My Account).
Baada ya kuingia mtandaoni, neno siri lako la sasa linaweza kubadilishwa kwenye sehemu ya Akaunti Yangu (My Account) kwenye kijisehemu cha Kubadili Neno Siri (Change Password) upande wa kushoto.
Endapo umesahau neno lako la siri, ingiza barua pepe yako na kisha ubonyeze sehemu ya Neno Siri
Kwa kuzingatia hali ya juu ya viwango vya ulinzi tunavyovifuata, na ili kuwa na uwezo wa kulinda usiri wa akaunti yako, taarifa zake na fedha zilizomo, akaunti yako ni lazima iwe imethibitishwa.
Bonasi zinazawadiwa ndani ya promosheni na masuala ya promosheni.
Promosheni zote za bonasi zilizopo zinaonekana sehemu ya Promo kwenye tovuti yetu.
Pesa za kwenye akaunti ya bonasi inatumika kwa tiketi tu.
Pesa za kwenye akaunti ya bonasi inatumika kwa tiketi tu.
Ingia kwenye akaunti yako ili kuona tiketi zilizochezwa kwa akaunti ya bonasi.
Pesa za kwenye akaunti ya bonasi hazina muda wa ukomo. Pale inapotolewa tu, bonasi huweza kutumika kwa ajili ya tiketi muda wowote.
Bonasi inazawadiwa kwa kutegemea promosheni zinazoendelea na kutegemea masharti na vigezo mbalimbali vilivyotimizwa.
Baada ya kuchagua odds unazotaka kubetia, chagua Bonus Account (Akaunti ya Bonasi) juu ya bashiri zako kabla hujathibitisha tiketi yako.
Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.
Huduma kwa Wateja ya Meridianbet inaweza kufikiwa kwa namna zifuatazo:
Ili kuweza kuingia mtandaoni, unahitaji kuwa na jina lako la kutumia mtandao wetu na neno la siri.
Masuala ya promosheni yanaweza kupatikana kwenye sehemu ya Promo kwenye tovuti yetu.