Promosheni zote za bonasi zilizopo zinaonekana sehemu ya Promo kwenye tovuti yetu.
Ili kupata haki ya kupewa bonasi unahitajika kutimiza baadhi ya vigezo vinavyotakiwa. Promosheni zimetengenezwa ili kwamba watumiaji waweze kutimiza vigezo kwa urahisi kupitia matumizi yao ya kila siku kwenye akaunti zao. Promosheni zilizopo zinaweza kuonekana kwenye tovuti yetu sehemu ya ukurasa wa Promo au unaweza kuwasiliana na Huduma kwa Wateja kwa taarifa zaidi.