Home
AKAUNTI YA MTANDAONI
Je, ninaweza kuwa na akaunti zaidi ya moja za Meridianbet?

Je, ninaweza kuwa na akaunti zaidi ya moja za Meridianbet?

Haiwezekani kuwa na akaunti zaidi ya moja mtandaoni.

Wachezaji wanaweza kuwa na akaunti moja tu ya Meridianbet.co.tz. Akaunti yako inatengenezwa kwa kuzingatia taarifa binafsi pekee. Mchezaji yeyote ambaye atagundulika kuwa na akaunti zaidi ya moja itapelekea akaunti hizo kufutwa au kuzuiwa.