Ni kwanini sijapokea bonasi?


Bonasi inazawadiwa kwa kutegemea promosheni zinazoendelea. Ili kupata bonasi, unatakiwa kutimiza baadhi ya masharti na vigezo vya promosheni hizo.

Timu nzima ya Meridianbet inafanya kila jitihada ili kutoa aina mbalimbali za promosheni zikiwa na masharti ambayo unaweza kuyatimiza kirahisi kwa kupitia mambo mbalimbali unayoyafanya kwenye akaunti yako.

Bonasi za promosheni zilizopo kwa sasa zinaweza kuonekana kwenye tovuti yetu kwenye sehemu ya chaguo la Promo au unaweza kuwasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja wetu.