Tiketi zako zote ulizocheza zinaweza kuonekana kwenye sehemu ya Akaunti Yangu (My Account), kwenye kisehemu cha Maonesho ya Tiketi (Ticket Review) upande wa kushoto.
Tazama tarehe, chagua akaunti ambayo ulichezea tiketi zako (Keshi au Bonasi) na hali za tiketi (iliyo wazi, iliyopoteza, iliyoshinda). Endapo unapenda kuona tiketi zako zote basi machaguo yote yawe katika hali ya wazi.
Kama umecheza zaidi ya tiketi 10, pitia upande wa ukurasa wa pili kwa kutumia machaguo yaliyopo chini.