Pesa za kwenye akaunti ya bonasi inatumika kwa tiketi tu.
Pesa ya bonasi inaweza kutumika kwa ajili ya tiketi za kwenye aina yoyote ya kubeti: standard betting (kubeti kawaida), in-play betting (kubeti michezo inayoendelea), virtual (michezo iliyowekwa), KENO…
Akaunti ya bonasi haijajumuishwa kwenye michezo ya kasino na haiwezi kutumika kwenye michezo ya kasino.
Haiwezekani kuwa na akaunti zaidi ya moja mtandaoni.
Watu wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee ndiyo wanaoruhusiwa kucheza kamari.
Akaunti inatengenezwa kwa kuzingatia taarifa binafsi kutoka kwenye nyaraka za utambulisho.
Passwords are case sensitive
You received your account number in an e-mail upon registration.