Taarifa zako binafsi ulizoziweka wakati wa kujisajili zinaweza kuonekana kwenye chaguo la Akaunti Yangu (My Account).
Kwenye chaguo la Kubadili Taarifa Binafsi (Change of Personal Data), unaweza kuweka mabadiliko yaliyoruhusiwa. Kama vile: kubadili swali la ulinzi, jibu la swali la ulinzi, namba ya simu...
Kwa mabadiliko mengine, wasiliana na Kitengo cha Huduma kwa Wateja.