Kwa kuzingatia hali ya juu ya viwango vya ulinzi tunavyovifuata, na ili kuwa na uwezo wa kulinda usiri wa akaunti yako, taarifa zake na fedha zilizomo, akaunti yako ni lazima iwe imethibitishwa.
Tutumie vifuatavyo kwa ajili ya kuithibitisha akaunti yako:
Nyaraka hizi zinaweza kutumwa kwa barua pepe kwa: info@meridianbet.co.tz