Ni sehemu gani ambayo ninaweza kuona tiketi ambazo nimezicheza kwa pesa ya Bonas


Ingia kwenye akaunti yako ili kuona tiketi zilizochezwa kwa akaunti ya bonasi. Fungua Tickets (Tiketi) kwenye sehemu ya My Account (Akaunti Yangu), upande wa kulia.

Pangilia tarehe ambazo unataka kuona tiketi zako, chagua Bonasi Akaunti Pekee (Bonus Account), chagua hali husika na kisha uzitafute.

Ni tiketi pekee zilizochezwa kwa pesa iliyopo kwenye akaunti ya bonasi zitakazooonekana.