Ni kwa namna gani ninaweza kuingia kwenye akaunti yangu?


Ili kuweza kuingia mtandaoni, unahitaji kuwa na jina lako la kutumia mtandao wetu na neno la siri. Jina lako ni barua pepe yako uliyoitumia kujisajili wakati wa kutengeneza akaunti ya Meridianbet.

Upande wa juu kona ya kulia ya tovuti ina sehemu za kujaza ili kuweza kuingia (login). Ingiza barua pepe yako kwenye sehemu ya barua pepe, uliyotumia wakati wa usajili. Ingiza neno siri lako la sasa kwenye sehemu ya neno siri.