Kuna aina mbili za akaunti ndani ya akaunti yako ya mtandaoni: Bonasi na Keshi.
Salio kwenye akaunti yako linaweza kutazamwa sehemu ya Tiketi upande wa kulia, au, kwenye upande wa kona ya kulia juu, kwa kubofya sehemu ya Akaunti ya Keshi (Cash Account). Pia, salio linaweza kuoneshwa au kufichwa kwa kutumia kisehemu cha Kuonesha Thamani (Show Value).