Ni kwa namna gani ninaweza kulipia tiketi kwa pesa ya kwenye akaunti ya bonasi?


Baada ya kuchagua odds unazotaka kubetia, chagua Bonus Account (Akaunti ya Bonasi) juu ya bashiri zako kabla hujathibitisha tiketi yako.

Unachoshinda kutokana na kulipia kwa akaunti ya bonasi kinapunguzwa kwa ajili ya dau uliloweka. Ni kile ulichoshinda tu ndicho kinachokwenda kwenye Akaunti ya Keshi (Cash Account), bila ya dau uliloweka kutoka kwenye akaunti ya bonasi.