Promosheni za bonasi ni masuala ya promosheni, yanayojumuisha utoaji wa bonasi mbalimbali, kuwazawadia watumiaji wetu. Kila promosheni ya bonasi ina masharti na vigezo ambavyo ni lazima vitimizwe. Haya masharti hutofautiana kutegemea aina ya promosheni.
Masuala ya promosheni yanaweza kupatikana kwenye sehemu ya Promo kwenye tovuti yetu.
Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Airtel Money
Ili kuweza kuingia mtandaoni, unahitaji kuwa na jina lako la kutumia mtandao wetu na neno la siri.
Unaweza kulipia mkeka kwa namba yako pekee na akaunti ya TIGO Pesa.
Huduma kwa Wateja ya Meridianbet inaweza kufikiwa kwa namna zifuatazo: