Ni kwa namna gani ninaweza kupata picha ya ninachokiona kwenye kioo (kuchapisha


Unaweza kurekodi vilivyomo kwenye kioo kwa kubonyeza kitufe cha PRINT SCREEN (PRTSC au PRTSCN kwenye baadhi ya keyboard). Hii inajulikana kama kurekodi kioo. Kisha unaweza kuiweka hiyo picha ya kioo kwenye dokumenti, jumbe za kielektroniki au kwenye faili lingine.

 

Hii inafanyika kwa namna hii:

  1. Bonyeza Print Screen kwenye keyboard,
  2. Fungua Paint
  3. Bonyeza CTRL na V kwa wakati mmoja
  4. Ihifadhi picha kwa kutumia CTRL na S kwenye faili ulilolichagua.