MSHANGAO UNAOWEZEKANA KILA UINGIAPO MTANDAONI
Kuanzia sasa na kuendelea, kila unapoingia mtandaoni inaweza kuwa ni matokeo ya habari njema kutoka kwa Meridianbet!
Ingia mtandaoni sasa na uangalie sehemu ya taarifa (notifications)! Pengine umejishindia bonasi wakati huu.
Maduka ya kubetia ya Meridianbet yanalipa bonasi za kubetia ndani ya promosheni zake. Endapo taarifa (notificatiobns) imekufikia kwenye akaunti yako, utaiona mara baada ya kuingia mtandaoni kwenye upande wa juu kona ya kulia, juu ya barua pepe yako.
Tembea mpaka kwenye kisehemu cha Notifications (Taarifa) kwa kutumia mausi yako na notifications (taarifa) itafunguka. Hapo ndipo unapoweza kukubali au kukataa bonasi.
Baada ya kuthibitisha bonasi, bonasi itaingia moja kwa moja kwenye akaunti yako. Kwa kukataa basi utakuwa umefanya kitendo kisichobadilishika na kwamba hauna haja na bonasi na haitolipwa kwenye Akaunti yako ya Bonasi.
Ingia na ujionee kama umepokea taarifa na uiongeze kwenye Akaunti Yako ya bonasi pamoja nayo.
Kila Jumatatu na Alhamisi, unaweza kujipatia ratiba zetu zote zilizokamilika kwa ajili ya kubetia kwenye barua pepe yako
Baada ya kuwa kimya kwa muda kadhaa kwenye tovuti, tovuti inakutoa yenyewe kwenye mfumo wa mtandao wa akaunti yako
Unaweza kurekodi vilivyomo kwenye kioo kwa kubonyeza kitufe cha PRINT SCREEN (PRTSC au PRTSCN kwenye baadhi ya keyboard
Salio la kwenye Akaunti yako ya Bonasi linaweza kuonekana mara baada ya kuingia kwenye akaunti yako kwenye sehemu ya chaguo la Tiketi upande wa kulia.