Home
TOVUTI NA APP YA SIMU
Ni sehemu gani ninayoweza kuona hali ya kiwango changu cha salio la Akaunti ya B

Ni sehemu gani ninayoweza kuona hali ya kiwango changu cha salio la Akaunti ya B

Salio la kwenye Akaunti yako ya Bonasi linaweza kuonekana mara baada ya kuingia kwenye akaunti yako kwenye sehemu ya chaguo la Tiketi upande wa kulia. Na, kwa kubofya sehemu ya upande wa juu kulia kwenye kona kwenda kwenye chaguo la Akaunti ya Keshi (Cash Account), ambapo kitashuka kisehemu cha kuonesha salio kwenye Akaunti ya Bonasi (Bonus Account) kama chaguo la mwisho.