Home
KUBETI
Empty Bet ni nini?

Empty Bet ni nini?

Empty Bet ni aina ya kubeti ambapo mchezaji anaweka mawazo yake binafsi kwa kutengeneza gemu ya kubeti, baada ya hapo duka la kubetia linaikubali hiyo na kupendekeza odds kwenye wazo hilo endapo baadhi ya vigezo vilivyojumuishwa kwenye sheria na upimaji vitatimizwa.

Endapo gemu iliyopendekezwa kwenye tukio ambalo haipo kwenye ratiba na bado haijaanza basi gemu itatafsiriwa kwa kadri ya sheria za Meridian na aina hiyo ya beti itakamilishwa moja kwa moja kwneye sheria zilizopo.

Endapo gemu iliyopendekezwa inahusianishwa na tukio ambalo limekwishaanza na wakati wa kuilipia basi beti hiyo itahusishwa kwenye michezo inayoendelea na sheria zake zote.

Duka linaweza, kwa kutegemea wazo la mchezaji na mfumo wa gemu yake, pendekeza beti ambayo haijahusishwa kwenye ratiba za kawaida endapo matokeo ya beti kama hiyo inaweza kupimwa na endapo kuna chanzo kinachoaminka na kilicho wazi kwa usomaji wa matokeo ya beti hiyo.

Mfano wa Empty Bet kwenye Mpira wa Miguu:

Real Madrid imepata zaidi ya mabao 4.5 kwenye mechi –odds 15.00

Goli la moja kwa moja kwenye mechi – odds 9.00

Goli la kwanza kwenye mehi kutokana na penati – odds 10.00

Mfano wa Empty Bet kwenye Mpira wa Kikapu:

Anadolu Efes anashinda kwa tofauti ya ushindi ya 3-6 – odds 8.00

Alama nyingi zipatikane kwenye kota ya 3 – odds 3.60

Kati ya alama 121-130 kwenye mechi – odds 10.00

Sheria

Angalia endapo tayari beti yako ipo kwenye ratiba za siku hiyo ama kwenye michezo

inayoendelea wakati huo.

Ni lazima beti zote zipangiliwe kiukamilifu, umakini uwekwe katika kutotumia maneno yafuatayo: inayofuata, ijayo … na kutumia namba ya kawaida badala yake (ya 1, ya 2, ya 3, na kadhalika).

 

Endapo tiketi imerudishwa ikiwa na odds 1.01, hii mara nyingi humaanisha kwamba beti haijapangiliwa vyema na tunaomba uipangilie upya kwa kadri ya ufafanuzi wa Epmty Bet.

 

Mara nyingi mchezeshaji anarudisha tiketi na kusema ni nini kinapaswa kurekebishwa.

 

Unaweza kutoa kutoka kwenye tiketi muda wowote endapo tu vigezo vya beti hiyo havikuridhishi.

 

Beti hizo hazina haja ya kuunganika na michezo, lakini ni lazima ziendane na sheria za Empty Bet.

 

Duka la kubetia lina kila mamlaka ya kuikataa beti yoyote kwa kadri ya sheria tajwa.

 

Masharti na vigezo vya jumla kuzingatiwa.

 

Namna ya kubeti kwenye Empty Bet pale ambapo vigezo yote vimezingatiwa:

Hatua ya 1

Bonyeza kwenye kitufe cha Empty Bet

Hatua ya 2

Kitatokea kijidirisha ambapo unaweza kutengeza beti

Hatua ya 3

Ingiza jina la tukio lako na kisha chapa aina ya beti kwenye kijidirisha hicho

Hatua ya 4

Bonyeza Wasilisha (Submit) na usubiri kwa muda kadhaa

Hatua ya 5

Tiketi itajitokeza ambapo kwenye sehemu ya Malipo, ingiza kiasi cha malipo yako. Baada ya hapo bonyeza Wasilisha (Submit)

Hatua ya 6

Utapokea ujumbe juu ya vigezo vya beti. Bonyeza Funga (Close)

Hatua ya 7

Ndani ya kisehemu cha Tiketi odds zitatokea kwa ajili ya beti inayotakiwa. Thibitisha tiketi yako kwa kubonyeza sehemu ya Kubali Mabadiliko (Accept Changes)!

Hatua ya 8

Tiketi yako itafunguka ikiwa na taarifa juu ya beti, malipo na thamani. Kubali mabadiliko ya odds na ubonyeze OK.

Hatua ya 9

Utapokea meseji ya kukujulisha kwamba umefanikiwa kuweka beti yako kwenye Empty Bet na kwamba tiketi yako imekubaliwa