Unatafutaje thamani ya tiketi ya mfumo?


Ili kutafuta thamani ya ushindi kwenye tiketi ya mfumo, ni muhimu kuchakata dau lililowekwa na ushindi kwa kila muunganiko (combination). Gawanya dau uliloweka kwa idadi ya miunganiko (combinations) ya tiketi yako ya mfumo, na kisha uzidishe namba hiyo na odds na utapokea ushindi kwa kila muunganiko. Baada ya hapo, ushindi wote kwa kila muunganiko inajumlishwa na kupata kiasi cha juu kinachowezekana kushinda kwenye tiketi yako ya mfumo.

Dau la chini ni RSD 2 kwa kila muunganiko (combination).

Tiketi za mfumo ni tiketi ambazo kwazo mteja anaweza kupata ushindi hata kama pea zote kwenye ubashiri wake hazijakisiwa. Aina ya tiketi za mfumo ambazo mteja anaweza kuzicheza kwenye maduka ya kubetia ya Meridianbet ni kama zifuatazo:

  • Mfumo wa kawaida – katika aina hii ya mfumo mteja, nje ya jumla ya namba za pea za kwenye tiketi ni lazima kukisia idadi ya chini kabisa ya namba za pea ili tiketi iweze kushinda (kwa mfano, 3 kati ya 5, 4 kati ya 7, 2 kati ya 3).
  • Mfumo wa kawaida kukiwa na fix – kutoka kwenye hiyo ya mfumo hapo iliyopita mchezaji anaongeza idadi kadhaa ya “fixes” (“fix” ni mechi ambayo ni lazima mchezaji ashinde ili kuweza kuipitisha tiketi, ni kweli kwamba, kwa idadi ndogo kabisa ya namba itakiwayo kulengwa kutoka kwenye mfumo) (kwa mfano, 2/2 4/7; 1/1 2/5; 3/3 5/8).
  • Mfumo kuzidishwa na mfumo – kwenye aina hii ya mfumo mchezaji anakuwa anayo mifumo ya kawaida kadhaa kwenye tiketi yake, moja baada ya nyingine (2/3 4/6 1/4 2/4).
  • Mfumo kuzidishwa na mfumo kukiwa na fix – kutoka kwenye hiyo iliyopia hapo juu idadi ya fix inaongezwa.

Kila mfumo una idadi fulani ya miunganiko (combinations).

Jedwali likiwa na idadi ya miunganiko linawezwa kuonekana kwenye Orodha na Jumlisho kwenye tovuti:

Kila muunganiko (combination) ni kama vile tiketi ndogo zaidi kwa pea nyingi kama vile mchezaji alivyotaka kwa kulenga kiasi cha chini kabisa kwenye mfumo (kwa mfano, tiketi ya mfumo 3 kati ya 5 ina miunganiko 10 ikimaanisha kwamba ni sawa kabisa na mchezaji amechukua tiketi 10 tofauti zikiwa na pea 3 kila moja.