Home
KUBETI
Ninawekaje beti ndani ya Empty Bet?

Ninawekaje beti ndani ya Empty Bet?

Ili kubeti kwenye Empty Bet ingia kwenye tovuti yetu.

 

Bonyeza kwenye kitufe cha Empty Bet.

Kitatokea kijidirisha ambapo unaweza kutengeza beti.

Ingiza jina la tukio lako na kisha chapa aina ya beti kwenye kijidirisha hicho.

Bonyeza Wasilisha (Submit) na usubiri kwa muda kadhaa.

Tiketi itajitokeza ambapo kwenye sehemu ya Malipo, ingiza kiasi cha malipo yako. Baada ya hapo bonyeza Wasilisha (Submit).

Tiketi yako itafunguka ikiwa na taarifa juu ya beti, malipo na thamani. Kubali mabadiliko ya odds na ubonyeze OK.

Utapokea ujumbe juu ya vigezo vya beti. Bonyeza Funga (Close).

Ndani ya kisehemu cha Tiketi odds zitatokea kwa ajili ya beti inayotakiwa. Thibitisha tiketi yako kwa kubonyeza sehemu ya Kubali Mabadiliko (Accept Changes)!

Utapokea meseji ya kukujulisha kwamba umefanikiwa kuweka beti yako kwenye Empty Bet na kwamba tiketi yako imekubaliwa