Home
KUBETI
Turbo Payout ni Nini?

Turbo Payout ni Nini?

Turbo Payout ni aina ya promosheni ambayo itakuwezesha kupata malipo ya ushindi kutoka kwenye pea 3 bila ya kujali ni idadi ngapi ya mechi uko nazo kwenye tiketi.

Ili kuwa na vigezo vya kupata Turbo payout, ni lazima uwe na angalau pea 3 za ushindi kwenye tiketi.

Turbo Payout inawezekana tu kwa mechi ambazo hazijaanza.

Endapo utatimiza vigezo hivi, na ukatuma maombi, hautoweza kuwa na uwezo wa kukataa tena hayo maombi.

Mara tu unapokubali Turbo Payout, tiketi yako inakuwa ya ushindi kwa kadri ya sheria.

Endapo hatua za Turbo payout zitakamilishwa hautoweza kusimamisha zoezi la malipo.

Endapo tiketi yako inajumuisha promosheni zozote zilizopo hewani, haiwezi kukusanywa kwenye Turbo Payout.

Hii ni batili kwa tiketi za mfumo (system tickets).