Angalia endapo tayari beti yako ipo kwenye ratiba za siku hiyo ama kwenye michezo
inayoendelea wakati huo.
Ni lazima beti zote zipangiliwe kiukamilifu, umakini uwekwe katika kutotumia maneno yafuatayo: inayofuata, ijayo … na kutumia namba ya kawaida badala yake (ya 1, ya 2, ya 3, na kadhalika)
Tiketi iliyotengenezwa mtandaoni, ikachezwa kwenye maduka ya kubetia, ni FAST BET.
Spesho ni ofa zinazohusiana na ofa za michezo na ofa nzuri zilizopo hewani ambazo hazihusiani na michezo.
Mipira 80 inawekwa kwenye dumu, kuanzia 1 mpaka 80. Katika kila droo, mipira 20 inachomolewa katika dumu.
Chagua mechi unazotaka, kwenye machaguo ya tiketi chagua mfumo (system), chagua mfumo unaoutaka, ingiza kiasi cha pesa na ubonyeze sehemu ya kuthibitisha.
Alama mbili mbili, alama tatu tatu, alama nne nne – ni aina ya mfumo wa kubetI ambapo mchezaji anaweka aina tofauti za ubashiri kwenye mechi moja (mbili kwa mara mbili mbili, tatu kwa mara tatu tatu…) ambapo alama za mara mbili au mara tatu zinaweza kutumika kwenye kila aina ya mfumo uliotajwa.