Home
KUWEKA PESA
Kuweka Pesa Kupitia M-Pesa Push

Kuweka Pesa Kupitia M-Pesa Push

 

  • Weka namba ya M-pesa unayotaka kuitumia kukamilisha malipo kwenye akaunti yako
  • Kiwango cha chini cha kuweka pesa ni TZS 1,000
  • Utapata ujumbe kwenye skrini ya simu yako ili kukamilisha muamala kwa kuweka namba ya siri ya M-Pesa
  • Utapokea ujumbe mfupi SMS kuthibitisha kukamilika kwa muamala wako , na kiasi kitaonekana kwenye akaunti yako ya Meridianbet

Inaweza kuchukua dakika moja pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo utapata tatizo lolote kuhusiana na kuwekewa pesa usisite kuwasiliana na kitengo Huduma kwa Wateja.