Home
KUWEKA PESA
Kulipa kwa Airtel Money

Kulipa kwa Airtel Money

Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Airtel Money

Weka pesa kwa airtel money
 

 

  • Hatua 1: Piga *150*60# kwenye simu yako
  • Hatua 2: Chagua 5 Lipia Bili
  • Hatua 3: Chagua 6 Bahati Nasibu
  • Hatua 4: Andika namba 8 ili kuchagua Meridianbet
  • Hatua 5: Weka kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako ya Meridianbet.
  • Hatua 6: Weka Akaunti ID  kama kumbukumbu ya malipo.
  • Hatua 7: Weka namba yako ya siri kukamilisha malipo na kumbuka kutompa mtu yeyote namba yako ya siri.


Inaweza kuchukua hadi dakika 1 kwa pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Kama unahitaji maelezo yeyote ya ziada, usisite kuwasiliana na kitengo cha Huduma kwa Wateja.