Promosheni za bonasi ni masuala ya promosheni, yanayojumuisha utoaji wa bonasi mbalimbali, kuwazawadia watumiaji wetu. Kila promosheni ya bonasi ina masharti na vigezo ambavyo ni lazima vitimizwe. Haya masharti hutofautiana kutegemea aina ya promosheni.
Masuala ya promosheni yanaweza kupatikana kwenye sehemu ya Promo kwenye tovuti yetu.
Unaweza kutengeneza akaunti ya kubeti mtandaoni ya Meridianbet sehemu ya Kujisajili.
Haiwezekani kuwa na akaunti zaidi ya moja mtandaoni.
Watu wenye umri wa zaidi ya miaka 18 pekee ndiyo wanaoruhusiwa kucheza kamari.
Kila Jumatatu na Alhamisi, unaweza kujipatia ratiba zetu zote zilizokamilika kwa ajili ya kubetia kwenye barua pepe yako
Akaunti inatengenezwa kwa kuzingatia taarifa binafsi kutoka kwenye nyaraka za utambulisho.