Home
KUWEKA PESA
Kuweka Pesa Kupitia Airtel Push

Kuweka Pesa Kupitia Airtel Push

 

  • Weka namba ya Airtel unayotaka kuitumia kukamilisha malipo kwenye akaunti yako
  • Kiwango cha chini cha kuweka pesa ni TZS 1,000
  • Utapata ujumbe kwenye skrini ya simu yako ili kukamilisha muamala kwa kuweka namba ya siri ya Airtel
  • Utapokea ujumbe mfupi SMS kuthibitisha kukamilika kwa muamala wako , na kiasi kitaonekana kwenye akaunti yako ya Meridianbet

Inaweza kuchukua dakika 1 pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo utapata tatizo lolote kuhusiana na kuwekewa pesa usisite kuwasiliana na kitengo Huduma kwa Wateja.