Jinsi ya Kuweka Pesa Kupitia Tigo Pesa - Push
- Weka namba ya Tigo Pesa unayotaka kuitumia kukamilisha malipo kwenye akaunti yako
- Kiwango cha mwisho cha kuweka pesa ni 1,000 TZS
- Utapata ujumbe kwenye skrini yako ya simu yako ili kukamilisha kuweka pesa kwa kuweka namba ya siri ya Tigo Pesa
- Utapokea ujumbe wa SMS kuthibitisha kuwa muamala wako umekamilika, na kiasi kitaonekana kwenye akaunti yako ya Meridianbet
Taarifa zaidi juu ya kuweka pesa kwa Tigo Pesa unaweza kuzipata hapa.