Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Selcom Huduma
- Hatua 1: Tembelea wakala wa Selcom Huduma karibu yako.
- Hatua 2: Mpatie wakala namba yako ya akaunti ya Meridian Bet, namba yako ya simu na kiasi cha fedha ambacho unahitaji kuweka kwenye akaunti yako.
- Hatua 3: Wakala ataingiza taarifa hizo Selcom kukamilisha muamala.
- Hatua 4: Utapokea ujumbe wa SMS papo hapo na akaunti yako ya Meridian itaingiziwa kiasi hicho hapo hapo.