Deposit with Halopesa


Jinsi ya Kuweka pesa kwenye akaunti yako ya kwa Halopesa

 
  • Hatua ya 1: Bonyeza *150*88# kwa laini yako ya Halotel
  • Hatua ya 2: Kisha chagua Namba 4 kulipa bili
  • Hatua ya 3: Chagua Namba 3 kuweka namba ya kampuni, namba ya kampuni ni 656565
  • Hatua ya 4: Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (Namba ya kumbukumbu ya malipo ni namba ya akaunti yako ya Meridianbet, Account ID)
  • Hatua ya 5: Weka kiasi, kisha thibitisha malipo kwenda Meridianbet!

Inaweza kuchukua lisaa limoja pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo utapata tatizo lolote kuhusiana na kuwekewa pesa usisite kuwasiliana na kitengo Huduma kwa Wateja.