Home
KUWEKA PESA
NImeweka pesa lakini bado hazionekani kwenye akaunti yangu ya Meridianbet?

NImeweka pesa lakini bado hazionekani kwenye akaunti yangu ya Meridianbet?

Tutumie picha ya MESEJI yako ya malipo kwa info@meridianbet.co.tz ili tuweze kukamilisha malipo yako.

Endapo hujapokea pesa kwenye akaunti yako ya kubetia mtandaoni kwa zaidi ya saa 1 baada ya kuweka pesa, tafadhali wasiliana na timu ya Huduma kwa Wateja.