Miamala yako yote inaonekana ndani ya kisehemu cha Akaunti Yangu (My Account) upande wa kushoto, ndani ya Miamala (Transactions). Pangilia tarehe kisha anza kutafuta. Kila muamala una namba yake, muda, kiasi na akaunti ambayo imetolewa kwayo. Endapo una miamala mingi nenda ukurasa wa pili kwa kutumia machaguzi yaliyopo chini.
Weka pesa kwa kupitia mtoa huduma wetu tunayeshirikiana naye au kwenye Duka Lolote la Meridianbet
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Selcom Huduma
Namna ya kuweka pesa kwa TIGO Pesa
Jinsi ya kuweka pesa kwa kutumia Vodacom M-PESA
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye akaunti yako ya kwa Halopesa