Home
KUWEKA PESA
Weka pesa kwa KwikPay App

Weka pesa kwa KwikPay App

Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Mlipa

 
  • Hatua ya 1: Piga *150*60#
  • Hatua ya 2: Chagua namba 5- lipia bili
  • Hatua ya 3: Chagua namba 4- weka namba ya kampuni - 400700
  • Hatua ya 4: Weka namba ya kumbukumbu- anza na 555 (ikifatiwa na AKAUNTI yako ya Meridianbet)
  • Hatua ya 5:  Weka kiasi- kiwango cha chini ni 100/=
  • Hatua ya 6: Weka neno la Siri na kisha thibitisha

Inaweza kuchukua muda wa dakika 1 kwa pesa yako kuonekana kwenye akaunti yako. Ukihitaji maelekezo zaidi kuhusu hili usisite kuwasiliana na Huduma kwa Wateja.