Weka pesa kwa kutumia QR code ys Selcom kupitia App ya Tigo
Hatua ya 01: Chagua weka kwa Selcom QR
Hatua ya 02: Ingiza Kiasi unachotaka, kiwango cha chini cha kuweka ni 1000 TZS
Hatua ya 03: Fungua App ya Tigo
Hatua ya 04: Bonyeza kitufe cha "LIPA KWA SIMU"
Hatua ya 05: Scan QR Code
Hatua ya 06: Ingiza namba yako ya siri ili kuthibitisha muamala
Hatua ya 07: Utapokea ujumbe wa uthibitisho kutoka Selcom
Inaweza kuchukua dakika 1 pesa kuonekana kwenye akaunti yako. Endapo utapata tatizo lolote kuhusiana na kuwekewa pesa usisite kuwasiliana na kitengo Huduma kwa Wateja.