Hapana, pesa iliyolipwa kwa tovuti inaweza kutumika kwa kubetia michezo, kubetia inayoendelea, KENO, beti za bure au kasino.
Kuna akaunti yako moja ya keshi ambayo unaweza kuiongoza moja kwa moja na ambayo kwayo unaweza kuweka beti utakazo.
* Pesa zilizowekwa kwa kupitia M-PESA, Neteller au Madukani na sababu ya kupokea pesa ya bonasi, ni lazima itumike kwa kuweka bashiri au kucheza gemu za kasino. Pale inapotokea pesa imetumika kidogo au sehemu tu ya pesa hiyo na kumaliza pesa ya bonasi yote, tuna kila haki ya kukukata 10% ya kiasi kilichosalia ikiwa ni kama malipo ya ada ya kuhamisha pesa.
Weka pesa kwa kupitia mtoa huduma wetu tunayeshirikiana naye au kwenye Duka Lolote la Meridianbet
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye Akaunti ya Meridianbet kwa Selcom Huduma
Namna ya kuweka pesa kwa TIGO Pesa
Jinsi ya kuweka pesa kwa kutumia Vodacom M-PESA
Jinsi ya Kuweka pesa kwenye akaunti yako ya kwa Halopesa