Home
KUWEKA PESA
WEKA PESA NA USSD WALLET

WEKA PESA NA USSD WALLET

JINSI YA KUWEKA PESA KWENYE WALETI YA USSD/ KUBETI KWA KITOCHIHatua ya 1: Piga *149*10#
Hatua ya 2: Chagua namba 6- Waleti &Akaunti
Hatua ya 3: Chagua 1- Weka Pesa kwa waleti ya Meridian
Hatua ya 4: Weka kiasi- kiwango cha chini ni 250/=
Hatua ya 5: Weka Pini
Hatua ya 6: Utapokea ujumbe ukithibitisha muamala wako umetumwa kwenda Meridianbet