Home
KUWEKA PESA
Ninapaswa kufanya nini endapo nina tatizo kuhusiana na M-PESA?

Ninapaswa kufanya nini endapo nina tatizo kuhusiana na M-PESA?

Wasiliana na kitengo chetu cha Huduma kwa Wateja kwa masuala yoyote yanayohusiana na M-PESA. Timu yetu itakusaidia pasipo kujali tatizo hilo.