Home
KUWEKA PESA
Ninawekaje pesa kwenye akaunti yangu ya kubetia mtandaoni ya Meridianbet?

Ninawekaje pesa kwenye akaunti yangu ya kubetia mtandaoni ya Meridianbet?

Unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Mtandaoni ya Meridianbet kwa njia kadhaa. Orodha ifuatayo ni watoa huduma wa njia za kuweka pesa na hatua za kuweka pesa kwenye Akaunti Yako ya Meridianbet:

- Selcom Huduma - Namna ya kuweka angalia HERE

- TIGO Pesa - Namna ya kuweka angalia HERE

- M-PESA - Namna ya kuweka angalia HERE

- Halopesa - Namna ya kuweka angalia HERE

- Airtel Money - Namna ya kuweka angalia HERE

- KwikPay App - Namna ya kuweka angalia HERE

- Dukani – Tafuta duka la Meridianbet lililo karibu nawe HAPA

Baada ya kuingia kwenye tovuti yetu, fungua kimenyu kinachoshuka jirani na sehemu ya notifications (taarifa) na uandike chini Akaunti ID yako, baada ya hapo unaweza kuchukua namba hzio kwenda kwenye duka lolote la kubetia la Meridianbet na kuweka pesa au kutoa kutoka kwenye akaunti yako.