Home
KUTOA PESA
Ninawezaje kupata pesa kutoka kwenye akaunti Yangu ya Mtandaoni?

Ninawezaje kupata pesa kutoka kwenye akaunti Yangu ya Mtandaoni?

Sheria ni kwamba kulipa na kulipwa kunaweza kufanyika kwa njia moja tu inayofanana ya malipo. Namna unavyoweza kukusanya ulichoshinda ni kwa namna ile ile uliyotumia kuweka pesa na kulipa.

 

Kwa mfano: endapo umelipia kwa kutumia kuweka dukani basi unaweza kukusanya ulichoshinda kwa kupitia dukani. Kama umelipa kwa kutumia M-PESA, unaweza kuomba malipo kwa kupitia M-PESA.

Kwa suala la kutoa kiasi chote mara baada ya kufanya malipo kwa kuweka pesa, Meridianbet ina haki zote za kukukata gharama za uendeshaji kwa kiasi cha 10% ya kiasi ulichoweka.

Wateja ambao wameweka pesa kwenye duka lolote wanaweza kuomba malipo kwa kupitia M-Pesa bila ya kutimiza vigezo vya kushinda na/au kupoteza ada ya kutoa.

Wateja ambao wanaweka pesa kwa kutumia M-Pesa wataweza kutoa kwenye duka lolote bila ya makato.